Ligi kuu soka ya Zanzibar hatua ya nane bora inaendelea jioni ya kesho Jumapili 21/5/2017 kwa michezo miwili itakayovurumishwa katika viwanja viwili tofauti.
Katika kiwanja cha Amani mnamo majira ya saa kumi alasiri Jang’ombe Boys itaoneshana kazi na timu ya JKU, huku katika kiwanja cha Gombani kisiwani Pemba Mwenge watamenyana na OKAPI.
No comments:
Post a Comment