Sunday, 1 October 2017

JKU KUANZA KAMPENI YAKULITETEA TAJI LA LIGI KUU SOKA YA ZANZIBAR, KESHO.

Msimu wa 2017-2018 ligi kuu soka ya Zanzibar unatarajiwa kuanza hapo kesho ambapo michezo minne itavurumishwa katika viwanja vitatu tofauti.

Ambapo kwa upande wa kituo cha Unguja timu ya JKU itaoneshana kazi na timu ya Mafunzo mnamo majira ya saa nane mchana katika dimba la Amani huku mnamo majira ya saa kumi alasiri Jang’ombe boys itakipiga na timu ya Zimamoto

Huku kwa upande wa kituo cha Pemba timu ya Chuo Basra ambayo inashiriki kwa mara ya kwanza ligi kuu soka ya Zanzibar kituo cha Pemba itajitupa katika dimba la Gombani mnamo majira ya saa kumi alasiri kuoneshana kazi na timu ya Hard rock na katika dimba la FFU Finya Kizimbani itaoneshana kazi na timu ya Wawi Star.

RATIBA YA MICHEZO YA MIZUNGUKO MINNE  LIGI KUU SOKA YA ZANZIBAR KITUO CHA PEMBA NI KAMA IFUATAVYO.

SIKU :
TAREHE:
M.NO
               MCHEZO:
KIWANJA:
WAKATI
Jumanne
Jumanne
Alkhamis
Alkhamis
Ijumaa
Ijumaa
Jumamosi

03/10/2017
03/10/2017
05/10/2017
05/10/2017
06/10/2017
06/10/2017
07/10/2017
1
2
3
4
5
7
6
Chuo/basra   Vs. Hard rock
Kizimbani     Vs. Wawi Star
Chipukizi   Vs.  New Star
Dogomoro    Vs. Jamhuri
Shaba     Vs.   Y/Islander
Opec       Vs.  Mwenge
FSC        Vs.   Okapi
Gombani
FFU Finya
Gombani
FFU Finya
Gombani
FFU Finya
Gombani
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00

Jumatatu
Jumatatu
Jumatatu
Jumanne
Jumanne
Jumatano
Jumatano

09/10/2017
09/10/2017
09/10/2017
10/10/2017
10/10/2017
11/10/2017
11/10/2017
8
9
10
11
12
13
14
Hard rock   Vs. Opec
Okapi         Vs.   Chuo/Basra
Young Islander   Vs.   FSC
Jamhuri     Vs. Shaba
New Star     Vs. Dogomoro
Wawi Star   Vs. Chipukizi
Mwenge      Vs. Kizimbani
Gombani
FFU Finya
Kangani Skuli
FFU Finya
Gombani
Gombani
FFU Finya
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00

Jumamosi
Jumamosi
Jumapili
Jumapili
Jumatatu
Jumatatu
Jumanne
14/10/2017
14/10/2017
15/10/2017
15/10/2017
16/10/2017
16/10/2017
17/10/2017
15
16
17
18
19
20
21
Chuo/Basra    Vs.  Y/Islanders
Hard Rock    Vs. Okapi
Chipukizi      Vs.  Mwenge
Dogomoro    Vs.  Wawi Star
Shaba     Vs.   New Star
FSC       Vs.  Jamhuri
Opec       Vs. Kizimbani

Gombani
FFU Finya
FFU Finya
Gombani
FFU Finya
Gombani
FFU Finya
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00

Jumamosi
Jumamosi
Jumapili
Jumapili
Jumatatu
Jumatatu
Jumanne
21/10/2017
21/10/2017
22/10/2017
22/10/2017
23/10/2017
23/10/2017
24/10/2017
22
23
24
25
26
27
28
Okapi       Vs. Opec
Young Islander  Vs. Hard Rock
Jamhuri   Vs. Chuo/basra
New Star     Vs.  FSC
Wawi Star     Vs. Shaba
Mwenge    Vs.  Dogomoro
Kizimbani      Vs. Chipukizi
FFU Finya
Gombani
FFU Finya
Gombani
Gombani
FFU Finya
Gombani
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00
10:00

No comments:

Post a Comment