Tuesday, 25 April 2017

RAIS ZFA AKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI KISIWANI PEMBA

RAIS wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) Ravia Idarous Faina,
akikabidhi jezi na mipira miwili mmoja kati ya viongozi wa Timu ya
Elevan Star baada ya kuiba mshindi wa kwanza katika ligi daraja la
Tatu Wilaya ya Chake Chake.

No comments:

Post a Comment