TIMU ya taifa ya Tanzania
kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys jioni ya leo inajitupa
katika dimba la L’Amitie kumenyana na Angola katika mchezo wake wa pili wa mashindano
ya vijana chini ya miaka 17.
Serengeti Boys inashuka dimbani ikihitaji ushindi ili kuweka hai matumaini ya kusonga mbele baada ya kutoka sare katika mchezo wa awali dhidi ya Mali.
Kila la kheri vijana wetu wa Serengeti Boys tunawatakia ushindi wa 2-0
ReplyDelete