Timu ya
Miembeni City imefanya usajili wao wa kwanza kwa kumsajili Feudal Riyamb Lucas
kutoka timu ya Chukwani United.
 |
Rais wa timu ya Miembeni City Seif Kombo akisalimiana na mchezaji mpya wa timu hiyo Feudal baada yakusaini kandarasi ya miaka mitatu na timu hiyo. |
 |
Feudal Riyamb wakatikati akisalimia na aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi wa Miembeni City ambae ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa timu hiyo Ali Muhamad. |
 |
Nyota mpya wa Miembeni City Feudal akisaini kandarasi ya miaka mitatu kuitumikia Miembeni City mbele ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa timu hiyo. |
No comments:
Post a Comment