Mzunguko wa 6 wa ligi
kuu soka ya Zanzibar hatua ya 8 bora utaanza leo Jumatatu ya July 17, 2017 kwa
kupigwa mchezo mmoja kati ya Mwenge watacheza na Zimamoto katika uwanja wa
Gombani saa10:00 za jioni.
Kesho Jumanne ya July 18, 2017 mechi nyengine 3
ambapo Okapi watasukumana na Taifa ya Jang’ombe katika uwanja wa Gombani saa
10:00 za jioni, na katika uwanja wa Amaan JKU watakipiga na Kizimbani saa 10:00
za jioni, kisha saa 1:00 za usiku Jang'ombe boys dhidi ya Jamhuri.
BAADHI YA PICHA ZA MATOKEO KATIKA MCHEZO WA LIGI KUU KATI YA JAMHURI NA TAIFA YA JANG'OMBE.
No comments:
Post a Comment