Mlinzi wa kati wa timu
ya Gulion FC Ali Hamad Ali inayoshiriki ligi daraja la pili wilaya ya mjini
Unguja amesajili miaka mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu ya Stand United
ya Tanzania bara.
![]() |
Ali Hamad Ali akizungumza na waandishi wa habari. |
Akizungumza na mtandao
huu nyota huyo ameelezea kufurahishwa kwake nakusajiliwa na timu hiyo huku
akisema kuwa hiyo itakuwa safari yake yakuanzia kucheza soka lakulipwa.
Amesema kuwa
atahakikisha anajituma kwa hali na mali kuhakikisha anakiimarisha kiwango chake
ulikufanikisha malengo yake.
Ali Hamad Ali ameanza
soka lake katika timu ya Vikokotoni tokea madaraja ya vijana kabla yakujiunga
timu ya Gulion akiwa nahodha wa timu hiyo.
No comments:
Post a Comment