Saturday, 13 May 2017

BLACKLION FOOTBAL ACADEMY YAZIDI KUFANYA VYEMA.

Timu ya blacklions football academy imeifunga timu ya Center boy magol 2-1 mchezo uliochezwa katika kiwanja cha Mwehe Makunduchi.

Kituo hicho cha kulelea watoto kisoka kinacholewa na Kijo Nadri Nyoni kimepania kufanya vyema katika kuimarisha vipaji vya watoto ambapo kwa sasa wapo katika mikakati yakukamilisha ujenzi wa shule kwa ajili ya vijana waliopo katika kituo hicho.

KIKOSI CHA BLACK LION FOOTBALL ACADEMY

KOCHA WA KITUO CHA KULELEA WATOTO CHA BLACK LION FOOTBALL ACADEMY KIJO NADRI NYONI ALIEVA KAPELO AKIFUATILIA TIMU YAKE.

WACHEZAJI WA BLACK LION FOOTBALL ACADEMY


No comments:

Post a Comment