Sunday, 4 June 2017

Real Madrid yapokelewa kishujaa.

Washabiki waliojitokeza kuilaki Real Madrid 
Kocha wa Real madrid Zinedine Zidan akirushwa na wachezaji wake hapo jana katika uwanja wa Bernabeu 

Cristiano Ronaldo akishangilia ushindi wa UEFA Champion League akiwa na mkato mpya wa nywele


Rais wa kilabu ya Real Madrid  Perez akiwa na Cifuentes aliebeba kombe katika sherehe za ubingwa jijini Madrid.

Basi lililobeba wachezaji wa timu ya Real Madrid likipita mbele ya mashabiki.

No comments:

Post a Comment