Thursday, 1 June 2017

STARS KATIKA PICHA

Makipa wa Taifa Stars kutoka kushoto, Aishi Manula na Benno Kakolanya wakivuta pumzi baada ya mazoezi ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’ yaliyofanyika jana usiku kwenye Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria jana usiku Mei 31, 2017. 


Daktari wa Viungo wa Taifa Stars, Dk. Gilbert Kigadye (kulia) akimchua kifundo cha mguu beki wa timu hiyo, Mohammed Hussein Zimbwe maarufu kama Tshabalala katika mazoezi ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu yaliyofanyika Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria.

Wachezaji wa Stars wakiwania mpira 

Wachezaji wa Taifa Stars wakipiga jaramba kuendeleza na mazoezi ya nguvu kwenye Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria

No comments:

Post a Comment