Mchezaji
wa timu ya Azam FC Abuabakary Sure boy ametokea nyota wa mchezo(man of the
match) katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Coconut FM Ndondo cup
mtanange uliovurumishwa katika dimba la Amani mjini Unguja usiku wakuamkia leo.
![]() |
Kikosi cha Mlandege |
Mtanange
huo ambao ulikuwa na ushindani na mvuto kwa washabiki waliofika uwanjani hapo
huku ukishuhudiwa na mlinzi wa Liverpol
ya England Mamadou Sakho ulikuwa na
ushindani wa hali ya juu.
Katika mchezo huo ambao umeshuhudiwa na mashabiki kadhaa magol
ya Mlande yalifungwa na Abdallah
Edi Mundo dakika ya 60 na Razak Halfan dakika ya 78.
Huku goli
pekee la Taifa limekifungwa na Ali Badru dakika ya 30.
Mashindano
ya Coconut Ndondo Cup yanatarajiwa kuendelea baada yakumalizika sherehe za Idd.
No comments:
Post a Comment