Vinara wa
ligi kuu soka ya Zanzibar timu ya Jamhuri kutoka kisiwani Pemba wanatarajiwa
kuwasili kisiwani Unguja July 6 tayari kwa mchezo wao wa mzunguko wa nne dhidi
ya timu ya Zimamoto ya Unguja mtanange ambao utavurumishwa katika dimba la
Amani mjini Unguja.
![]() |
Kikosi cha vinara wa ligi kuu soka ya Zanzibar timu ya Jamhuri ambacho kinatarajiwa kuwasili Unguja July 6. |
Kwa mujibu
wa taarifa iliyotolewa na kocha mkuu wa timu hiyo Abdulmutik Kiduu amesema
vijana wake wapo katika hali nzuri na ari ya hali ya juu kwa ajili ya kuendelea
wimbi la ushindi katika michezo iliyosalia ya ligi kuu soka ya Zanzibar.
Amesema baada
ya mapumziko yakupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani vijana wake
wameendelea na mazoezi na hamasa yakufanya vyema katika kila mchezo imekuwa
ikiengezeka siku hadi siku.
Mshambuliji wa mabingwa watetezi wa ligi kuu soka ya Zanzibar timu ya Zimamoto Ibrahim Hmad Hilika alievaa jezi manjano katika moja ya michezo ya ligi kuu soka ya Zanzibar, |
Kuhusu kukabiliwa
na majeruhi katika kikosi chake hicho kocha huyo amesema mpaka sasa hana
majeruhi hata mmoja na vijana wake wote wapo katika hali nzuri kiafya tayari
kuendeleza wimbi la ushindi katika kila mchezo ambao timu hiyo itacheza.
Jamahuri
ambayo imeibuka na ushindi katika michezo yote mitatu waliyocheza mpaka sasa
nakukusanya alama tisa inarudi katik mzunguko huu wa lala salama wa ligi kuu
soka ya Zanzibar kuhakikisha wanaendeleza ushindi katika kila mchezo ambao timu
hiyo itacheza.
Ligi kuu
soka ya Zanzibar inarudi tena ulingoni Jumapili ,July 9 baada yakuenda
mapumziko kwa takribani mwezi mmoja kupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa
Ramadhani ambapo Jumapili michezo miwili itavurumishwa katika kiwa cha Amani
mjini Unguja Taifa ya Jang’ombe watakipiga na Kizimbani huku katika kiwanja cha
Gombani kisiwani Pemba Mwenge itaoneshana kazi na Jang’ombe Boys.
Huku Jumatatu
July 10 ,katika kiwanja cha Amani vinara wa ligi hiyo timu ya Jamhuri
itaoneshana kazi na mabingwa watetezi wa mashindano hayo timu ya Zimamoto huku
katika kiwanja cha Gombani kisiwani Pemba Okapi itamenyana na JKU.
RATIBA
YA LIGI KUU YA SOKA ZANZIBAR – NANE BORA TOLEO NO:2 2016/2017
SIKU
|
TAREHE
|
M
|
HOME TEAM
|
VS
|
AWAY TEAM
|
VENUE &
TIME
|
|
4TH ROUND
|
|||||||
J’PILI
|
9/7/017
|
13
|
MWENGE
|
VS
|
JANG’OMBE
BOYS
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’PILI
|
9/7/017
|
14
|
TAIFA
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
J’TATU
|
10/7/017
|
15
|
OKAPI
|
VS
|
JKU
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’TATU
|
10/7/017
|
16
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
JAMHURI
|
SAA 10JIONI AMAAN
|
|
5TH ROUND
|
|||||||
ALHAMIS
|
13/7/017
|
17
|
MWENGE
|
VS
|
JKU
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
ALHAMIS
|
13/7/017
|
18
|
TAIFA
|
VS
|
JAMHURI
|
SAA 1:00USK
AMAAN
|
|
IJUMAA
|
14/7/017
|
19
|
OKAPI
|
VS
|
JANG’OMBE
BOYS
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
IJUMAA
|
14/7/017
|
20
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA 10JIONI AMAAN
|
|
6TH ROUND
|
|||||||
J’TATU
|
17/7/017
|
21
|
MWENGE
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’NNE
|
18/7/017
|
22
|
OKAPI
|
VS
|
TAIFA
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’NNE
|
18/7/017
|
23
|
JKU
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA 10JIONI
AMAAN
|
|
J’NNE
|
18/7/017
|
24
|
JANG’OMBE BOYS
|
VS
|
JAMHURI
|
SAA 1:00USK AMAAN
|
|
7TH ROUND
|
|||||||
IJUMAA
|
21/7/017
|
25
|
MWENGE
|
VS
|
TAIFA
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
IJUMAA
|
21/7/017
|
26
|
JANG’OMBE
BOYS
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
IJUMAA
|
21/7/017
|
27
|
JKU
|
VS
|
JAMHURI
|
SAA 1:00USK
AMAAN
|
|
J’MOSI
|
22/7/017
|
28
|
OKAPI
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA 10 JIONI GOMBANI
|
|
8TH ROUND
|
|||||||
J’NNE
|
25/7/017
|
29
|
OKAPI
|
VS
|
JAMHURI
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’NNE
|
25/7/017
|
30
|
JANG’OMBE
BOYS
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
J’TANO
|
26/7/017
|
31
|
MWENGE
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’TANO
|
26/7/017
|
32
|
JKU
|
VS
|
TAIFA
|
SAA 10JIONI AMAAN
|
|
9TH ROUND
|
|||||||
J’MOSI
|
29/7/017
|
33
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
JKU
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
J’MOSI
|
29/7/017
|
34
|
JAMHURI
|
VS
|
MWENGE
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’PILI
|
30/7/017
|
35
|
OKAPI
|
VS
|
KIZIMBANI
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’PILI
|
30/7/017
|
36
|
JANG’OMBE BOYS
|
VS
|
TAIFA
|
SAA 1:00USK AMAAN
|
|
10TH ROUND
|
|||||||
J’TANO
|
02/8/017
|
37
|
KIZIMBANI
|
VS
|
JAMHURI
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’TANO
|
02/8/017
|
38
|
TAIFA
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
ALHAMIS
|
03/8/017
|
39
|
OKAPI
|
VS
|
MWENGE
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
ALHAMIS
|
03/8/017
|
40
|
JKU
|
VS
|
JANG’OMBE
BOYS
|
SAA 10JIONI
AMAAN
|
|
11TH ROUND
|
|||||||
J’TATU
|
07/8/017
|
41
|
JAMHURI
|
VS
|
TAIFA
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’NNE
|
08/8/017
|
42
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
MWENGE
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
J’NNE
|
08/8/017
|
43
|
JANG’OMBE
BOYS
|
VS
|
OKAPI
|
SAA 1:00USKAMAAN
|
|
J’NNE
|
08/8/017
|
44
|
KIZIMBANI
|
VS
|
JKU
|
SAA 10JIONIGOMBANI
|
|
12TH ROUND
|
|||||||
IJUMAA
|
11/8/017
|
45
|
JAMHURI
|
VS
|
JKU
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
IJUMAA
|
11/8/017
|
46
|
ZIMAMOTO
|
VS
|
OKAPI
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
IJUMAA
|
11/8/017
|
47
|
JANG’OMBE
BOYS
|
VS
|
MWENGE
|
SAA 1:00USK
AMAAN
|
|
J’MOSI
|
12/8/017
|
48
|
KIZIMBANI
|
VS
|
TAIFA
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
13TH ROUND
|
|||||||
J’NNE
|
15/8/017
|
49
|
JAMHURI
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’NNE
|
15/8/017
|
50
|
JKU
|
VS
|
OKAPI
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
J’TANO
|
16/8/017
|
51
|
KIZIMBANI
|
VS
|
JANG’OMBE
BOYS
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’TANO
|
16/8/017
|
52
|
TAIFA
|
VS
|
MWENGE
|
SAA 10JIONI
AMAAN
|
|
14TH ROUND
|
|||||||
J’MOSI
|
19/8/017
|
53
|
JAMHURI
|
VS
|
JANG’OMBE
BOYS
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’MOSI
|
19/8/017
|
54
|
JKU
|
VS
|
MWENGE
|
SAA
10 JIONI AMAAN
|
|
J’PILI
|
20/8/017
|
55
|
KIZIMBANI
|
VS
|
ZIMAMOTO
|
SAA
10 JIONI GOMBANI
|
|
J’PILI
|
20/8/017
|
56
|
TAIFA
|
VS
|
OKAPI
|
SAA 10JIONI
AMAAN
|
No comments:
Post a Comment