Kikosi cha Simba asubuhi ya leo
kimeanza mazoezi yake visiwani Zanzibar kujianda na michezo ya ligi kuu soka ya
Vodacom sambamba na mchezo wa Ngao ya jamii dhidi ya Yanga unaotarajiwa
kufanyika September 23 mwaka huu.
Akizungumza na mtanadao huu mara
yakumaliza kwa mazoezi ya asubuhi ya leo kocha msaidi wa timu hiyo Jackson
Mayanja amesema hali ya kikosi chao ipo vizuri huku wakitarajia kufanya vyema
katika msimu ujao wa ligi sambamba na mchezo wao dhidi ya mahasimu wao wa jadi.
No comments:
Post a Comment