Wekundu wa
msimbazi Simba wanaendelea kujinoa visiwani Zanzibar kwa ajili yakujiandaa na
mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi ya mahasimu wao Yanga mchezo
ambao utavurumishwa Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Simba ambao
wapo visiwani wanafanya mazoezi yakujiandaa na mchezo huo katika kiwanja cha
Amani kwa wakati wa asubuhi na katika dimba la jeshini jioni kwa baadhi ya
siku.
Ikiwa simba
ikiendelea na mzoezi yakujiandaa na mahasimu wao Yanga mshambuliji wachezaji
wao waliokuwa majeruhi mshambuliaji John Bocco na kiungo Mohammed ‘Mo’ Ibrahim
wameonekana wakifanya mazoezi ya nyota wenzao kuashirikia kuwa tayari
kuikabilia Yanga.
Kwa mujibu wa
taarifa iliyotolewa na afisa habari wa timu hiyo wekundu hao wa msimbazi
wanatarajiwakuondoka visiwani hapa Jumamosi asubuhi kuelekea Tanzania bara kwa
mchezo huo.
No comments:
Post a Comment