Baada ya kipigo cha
magol 2-0 kutoka kwa mahasimu wao wa jadi timu ya taifa ya Jang’ombe inarudi
tena uwanjani jioni ya leo Jumatano August 2 kukipiga na timu ya Zimamoto.
Taifa ambayo imepoteza
muelekeo nakuwakatisha tama washabiki wao waliokuwa wakijitokeza kwa uwanjani
kuwashangalia wanajitupa katika mchezo wakiwa na matumaini finyu ya ushindi.
Mchezo mwengine wa
ligi kuu soka ya Zanzibar unafanyika katika dimba la Gombani kisiwani Pemba
ambapo Kizimbani itakipiga na timu Jamhuri.
Hey guys, I am from the Netherlands and I am visiting Zanzibar in the first week of January (3-10 january). Will there be any matches played in the Amaan Stadium or somewhere else in Stone Town?
ReplyDelete