Tuesday, 1 August 2017

Jamhuri uso kwa uso na Kizimbani,Taifa na Fire hapatoshi Amani.

Baada ya kipigo cha magol 2-0 kutoka kwa mahasimu wao wa jadi timu ya taifa ya Jang’ombe inarudi tena uwanjani jioni ya leo Jumatano August 2 kukipiga na timu ya Zimamoto.

Taifa ambayo imepoteza muelekeo nakuwakatisha tama washabiki wao waliokuwa wakijitokeza kwa uwanjani kuwashangalia wanajitupa katika mchezo wakiwa na matumaini finyu ya ushindi.

Mchezo mwengine wa ligi kuu soka ya Zanzibar unafanyika katika dimba la Gombani kisiwani Pemba ambapo Kizimbani itakipiga na timu Jamhuri.



1 comment:

  1. Hey guys, I am from the Netherlands and I am visiting Zanzibar in the first week of January (3-10 january). Will there be any matches played in the Amaan Stadium or somewhere else in Stone Town?

    ReplyDelete