Ligi kuu soka ya
Zanzibar inatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Jumanne October 3 ambapo vilabu
vinaendelea kujinoa nkujiandaa na ligi hiyo.
Mchezo wa ufunguzi wa
ligi hiyo utazikutanisha timu ya JKU na timu ya Mafunzo mnamo majira ya saa 8
mchana huku mnamo majira ya saa kumi alasiri Jang’ombe boys itakimenya na KMKM.
No comments:
Post a Comment