Wednesday, 7 June 2017

Jang'ombe Boys, Gor Mahia katika picha.

Mshambuliaji wa Jang'ombe Boys, Juma Hafidh, akijaribu kumtoka beki wa Gor Mahia,Kagere Medie, wakati wa mchezo wa mashindano ya SportPesa Super Cup, yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Abdi Kassim Babi akijaribu kumiliki mpira.

Khamis Mussa Rais akiruka juu kuufata mpira.






No comments:

Post a Comment