Kazi ya upakaji rangi Uwanja wa Gombani yaendelea vizuri
KAZI ya Upakaji wa Rangi katika Uwanja wa Michezo Gombani imeanza rasmi katika sehemu mbali mbali za majukwaani, kazi hiyo inayofanywa na mafunzi wa Kampuni ya kizalendo ya Zanzibar ZECCON, pichani chini ni wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiwa kazini.
No comments:
Post a Comment